• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 20, 2020

  SERGE GNABRY APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA 3-0 LYON

  Serge Gnabry (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 18 na 33 to kabla ya Robert Lewandowski (katikati) kufunga la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-0 wa Bayern Munch dhidi ya Olympique Lyon kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade Jijini Lisbon, Ureno na sasa watakutana na Paris Saint-Germain katika fainali Jumapili 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERGE GNABRY APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA 3-0 LYON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top