• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 31, 2020

  POLISI TANZANIA YAWASAJILI YAHYA MBEGU KUTOKA MWADU FC NA DEUS 'SHARO' WA ALLIANCE FC

  Beki wa kushoto, Yahaya Mbegu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo aktokea Mwadui FC ya Shinyanga 

  Kiungo mshambuliaji Deusdedit Cossmas 'Sharo' (kulia) amesiani mkataba wa miaka miwili kujiunga na Polisi Tanzania kutoka Alliance FC ya Mwanza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: POLISI TANZANIA YAWASAJILI YAHYA MBEGU KUTOKA MWADU FC NA DEUS 'SHARO' WA ALLIANCE FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top