• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 23, 2020

  SHEIKH ABUBAKAR BAKHRESA NA WAZIRI MWAKYEMBE WAKIFUATILIA KWA MAKINI BURUDANI NDANI YA AZAM COMPLEX KWENYE AZAM FC FESTIVAL

  Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhresa Group Limited, Sheikh Abubakar Bakhresa (kulia) akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto), ndiye mgeni rasmi wa Tamasha la Azam FC Festival, akimwakilisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ambaye amepata udhuru.
  Dk. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiwasalimu viongozi wa Azam FC, Karim Mapesa na Nassor Idrisa 'Father' na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo kwenye Tamasha la Azam FC Festival 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SHEIKH ABUBAKAR BAKHRESA NA WAZIRI MWAKYEMBE WAKIFUATILIA KWA MAKINI BURUDANI NDANI YA AZAM COMPLEX KWENYE AZAM FC FESTIVAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top