SIMBA SC YASAJILI BEKI WA KULIA WA LIPULI FC YA IRINGA ILIYOSHUKA DARAJA LIGI KUU
KOCHA Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Matola (kushoto) akimkabidhi nakala ya mkataba beki wa kulia, David Kameta baada ya kujiunga na timu hiyo kutoka Lipuli FC ya Iringa iliyoshuka Daraja
0 comments:
Post a Comment