• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 29, 2020

  GEITA GOLD YAMCHUKUA KOCHA FREDDY FELIX MINZIRO AWASAIDIE KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO

  KLABU ya Geita Gold FC leo imemtangaza rasmi Freddy Felix Minziro (kushoto) kuwa Kocha wake mpya atakayeiongoza timu hiyo katika jaribio lingine tena la kupanda Ligi Kuu ya Tanzana Bara msimu ujao kwa mkataba wa mwaka mmoja 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GEITA GOLD YAMCHUKUA KOCHA FREDDY FELIX MINZIRO AWASAIDIE KUPANDA LIGI KUU MSIMU UJAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top