• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 24, 2020

  HARMONIZE NDIYE MSANII ATAKAYETUMBUIZA KWENYE KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI JUMAPILI UWANJA WA MKAPA

  Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM, wadhamini wa klabu ya Yanga, Mhandisi Hersi Said akiwa na msanii wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali 'Harmonize' ambaye atatumbuiza kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Jumapili wiki hii Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HARMONIZE NDIYE MSANII ATAKAYETUMBUIZA KWENYE KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI JUMAPILI UWANJA WA MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top