• HABARI MPYA

  Thursday, August 20, 2020

  RATIBA YA MECHI ZA TAIFA STARS KUFUZU FAINALI ZA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA MWAKA 2021 CAMEROON

  TAYARI Taifa Stars imecheza mbili katika kundi lake, J na kufungwa moja, 2-1 dhidi ya Libya ugenini na kushinda moja, 2-1 dhidi ya Equatorial Guinea nyumbani Jijini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RATIBA YA MECHI ZA TAIFA STARS KUFUZU FAINALI ZA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA MWAKA 2021 CAMEROON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top