• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 17, 2020

  IDDI KIPAGWILE WA AZAM FC APELEKWA NAMUNGO FC KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA

  Kiungo mshambuliaji, Iddi Kipagwile amejiunga na klabu ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Azam FC ya Dar es Salaam. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IDDI KIPAGWILE WA AZAM FC APELEKWA NAMUNGO FC KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top