• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 23, 2020

  YANGA SC KUCHEZA NA KLABU KUBWA AFRIKA KWENYE KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI AGOSTI 30 UWANJA WA MKAPA

  VIGOGO wa soka nchini, Yanga SC wamesema watacheza na moja ya klabu kubwa barani Afrika kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Agosti 30, mwaka huu Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC KUCHEZA NA KLABU KUBWA AFRIKA KWENYE KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI AGOSTI 30 UWANJA WA MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top