WINGA DICKSON AMBUNDO ALIYEKUWA ANACHEZA GOR MAHIA YA KENYA AJIUNGA NA DODOMA FC
Mchumi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Shaaban Juma (kulia) akibadilishana nakala za mkataba na winga wa kimataifa wa Tanzania, Dickson Ambundo baada ya mchezaji huyo kujiunga na Dodoma Jiji FC kutoka Gor Mahia ya Kenya
0 comments:
Post a Comment