• HABARI MPYA

  Thursday, August 20, 2020

  YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI SENZO MAZINGISA MBATHA KUWA MTUMISHI WAKE MPYA

  KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi, Senzo Mazingisa Mbatha kuwa mtumishi wake mpya –Raia huyo wa Afrika Kusini alijiuzulu kwa mahasimu, Simba SC mapema mwezi huu. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAMTAMBULISHA RASMI SENZO MAZINGISA MBATHA KUWA MTUMISHI WAKE MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top