• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 28, 2020

  YANGA SC WAPEWA SIKU TANO KUREJESHA KIBALI CHA KUFANYIA KAZI CHA MORRISON VINGINEVYO WATACHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA

  IDARA ya Uhamiaji Tanzania imeipa siku tano klabu ya Yanga kurejesha kibali cha kufanyia kazi nchini cha mchezaji Mghana, Bernard Morrison kwa kuwa hivi sasa hafanyi tena kazi kwao.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC WAPEWA SIKU TANO KUREJESHA KIBALI CHA KUFANYIA KAZI CHA MORRISON VINGINEVYO WATACHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top