• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 19, 2020

  VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA VITAL'O SIMBA DAY NI KUANZIA 2000 UWANJA UHURU, 7000 UWANJA WA MKAPA HADI 150,000

  HUDUMA AMBAZO WATAPEWA WATAKAONUNUA TIKETI ZA PLATINUM

  • Kifurushi maalumu‬
  ‪• Chakula na vinywaji‬
  ‪• Usafiri kwenda uwanjani kutokea hoteli ya Serena ukiongozwa na polisi (rider)‬
  ‪• Kupata kadi ya kuingia kwenye after party ambayo itafanyika Elements‬
  ‪• Watu 10 wa kwanza kununua tiketi watapata nafasi ya kula chakula cha usiku na wachezaji na benchi la ufundi kwenye hoteli ya Serena
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VIINGILIO MECHI YA SIMBA NA VITAL'O SIMBA DAY NI KUANZIA 2000 UWANJA UHURU, 7000 UWANJA WA MKAPA HADI 150,000 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top