• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 29, 2020

  CARLOS CARLINHOS NA NYOTA WENGINE YANGA SC KWENYE MAZOEZI LEO MKAPA MBELE YA KOCHA MPYA

  Kiungo wa Yanga SC, Muangola Carlos Carlinhos akipiga mpira kwenye mazoezi ya timu yake leo Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Aigle Noir ya Burundi kesho kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi
  Mshambulaji mpya wa Yanga SC, Mghana Michael Sarpong akipiga mpira mazoezini leo  
  Kiungo mpya wa Yanga SC, Mkongo Tonombe Mukoko akipiga mpira mazoezini leo  
  Mshambulaji mpya wa Yanga SC, Waziri Junior akipiga mpira mazoezini leo  
  Kocha mpya wa Yanga SC, Mserbia Zlatko Krmpotic (kulia) akiwa na Mweyekiti wa klabu, Dk Mshindo Msolla mazoezini leo  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CARLOS CARLINHOS NA NYOTA WENGINE YANGA SC KWENYE MAZOEZI LEO MKAPA MBELE YA KOCHA MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top