• HABARI MPYA

  Saturday, August 22, 2020

  SEVILLA WATWAA TAJI LA SITA LA UEFA EUROPA LEAGUE

  Wachezaji wa Sevilla ya Hispania wakishangilia na taji la Europa League kwa mara nyingine tena baada ya kuifunga Inter Milan ya Italia mabao 3-2 kwenye fainali usiku wa jana Uwanja wa RheinEnergie Jijini Cologne, Ujerumani. Mabao ya Sevilla inayobeba taji la sita sasa yalifungwa na Luuk de Jong mawili dakika ya 12 na 33 na Romelu Lukaku aliyejifunga dakika ya 74 wakati ya Inter Milan yalifungwa na Lukaku kwa penalti dakika ya tano na Diego Godin dakika ya 35 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SEVILLA WATWAA TAJI LA SITA LA UEFA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top