• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 25, 2020

  MECHI YA NGAO YA JAMII SIMBA SC NA NAMUNGO FC KUCHEZWA JUMAPILI SHEIKH AMRI ABEID JIJINI ARUSHA

  MECHI ya Ngao ya Jamii baina ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba SC na washindi wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Namungo FC kuashiria upenuzi wa pazia la msimu mpya itachezwa Jumapili kuanzia Saa 9:30 Alasiri Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MECHI YA NGAO YA JAMII SIMBA SC NA NAMUNGO FC KUCHEZWA JUMAPILI SHEIKH AMRI ABEID JIJINI ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top