• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 25, 2020

  TAYARI KIUNGO CARLOS CARLINHOS NI MCHEZAJI MPYA WA KLABU YA YANGA BAADA YA KUSAINI MKATABA LEO DAR ES SALAAM

  Kiungo Carlos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo 'Carlinhos' amesaini mkataba wa kujiunga na Yanga leo Jijini Dar es Salaam akitokea Interclube au Inter ya kwao, Angola 
  Carlos Carlinhos akiwa na nakala yake ya mkataba wake pamoja na viongozi wa Yanga SC leo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAYARI KIUNGO CARLOS CARLINHOS NI MCHEZAJI MPYA WA KLABU YA YANGA BAADA YA KUSAINI MKATABA LEO DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top