• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 29, 2020

  ARSENAL WAICHAPA LIVERPOOL KWA MATUTA NA KUBEBA NGAO

  Wachezaji wa Arsenal wakishangilia na Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Liverpool jioni ya leo Uwanja wa Wembley Jijini London.
  Arsenal ilitangulia kwa bao la Nahodha wake, Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 12 kabla Takumi Minamino kuisawazishia Liverpool dakika ya 73. Waliofunga penalti za Arsenal ni Reiss Nelson, Ainsley Maitland-Niles, Cedric Soares, David Luiz na Aubameyang na za Liverpool walifunga Mohamed Salah, Fabinho,  Minamino na Curtis Jones,wakati Rhian Brewster alikosa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WAICHAPA LIVERPOOL KWA MATUTA NA KUBEBA NGAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top