NAMUNGO FC YAANZA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE CHA KOMBE LA SHIRIKISHO, YAMSAJILI NYOTA WA LIPULI
Kiungo Fredy Tangalo akiwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao kutoka Lipuli FC ya Iringa iliyoshuka daraja
0 comments:
Post a Comment