• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 18, 2020

  IHEFU SC ILIYOPANDA LIGI KUU YASAJILI WAWILI WA TIMU ZA MWANZA ZILIZOSHUKA DARAJA, ALLIANCE NA MBAO FC

  Mshambuliaji Jordan John akikabidhiwa jezi ya Ihefu SC baada ya kusaini mkataba wa kuichezea timu hiyo iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara kutoka Mbao FC ya Mwanza iliyoshuka daraja

  Beki wa kati Wema Sadoki akisaini mkataba wa kuitumikia Ihefu SC iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara kutoka Alliance FC ya Mwanza iliyoshuka daraja
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: IHEFU SC ILIYOPANDA LIGI KUU YASAJILI WAWILI WA TIMU ZA MWANZA ZILIZOSHUKA DARAJA, ALLIANCE NA MBAO FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top