MCHEZAJI MWINGINE AONDOKA MTIBWA SUGAR NA KUJIUNGA NA RUVU SHOOTING YA MLANDIZI
KIUNGO wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Issa Kajia amejiunga na majirani, Ruvu Shooting ya Mlandizi mkoani Pwani. Anakuwa mchezaji wa pili kuondoka Manungu kuhamia Mlandizi baada ya beki Cassian Ponera
0 comments:
Post a Comment