• HABARI MPYA

  Saturday, August 22, 2020

  LIVERPOOL YAICHAPA STUTTGART 3-0 MECHI YA KIRAFIKI AUSTRIA

  Liverpool imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Stuttgart,  mabao ya Roberto Firmino dakika ya 15, Naby Keita dakika ya 40 na Rhian Brewsterin dakika ya 68 kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Sportplatz Langau Jijini Kitzbuhel nchini Austria kujiandaa na msimu mpya 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAICHAPA STUTTGART 3-0 MECHI YA KIRAFIKI AUSTRIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top