BEKI JAFFAR MOHAMED ANAYECHEA NAFASI ZA KIUNGO PIA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA KUJIUNGA NA NAMUNGO FC
BEKI wa kushoto, Jaffar Mohammed anayeweza kucheza kama kiungo pia akiwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kujiunga na timu hiyo akitoka Yanga SC kama mchezaj huru
Item Reviewed: BEKI JAFFAR MOHAMED ANAYECHEA NAFASI ZA KIUNGO PIA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA KUJIUNGA NA NAMUNGO FC
Rating: 5
Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
0 comments:
Post a Comment