SIMBA SC YAMTAMBULISHA RASMI BEKI MPYA WA KATI, AME IBRAHIM KUTOKA COASTAL UNION YA TANGA
KLABU ya Simba SC imemtambulisha rasmi beki wa kati, Mzanzibar Ame Ibrahim kwa mchezaji wake mpya akijiunga na Wekundu hao wa Msimbazi kutoka Coastal Union ya Tanga
0 comments:
Post a Comment