• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 22, 2020

  MTIBWA SUGAR YAMSAJILI KIUNGO FUNDI GEORGE MAKANG'A KUTOKA NAMUNGO FC KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI

  KIUNGO mshambuliaji, George William Makang'a akisaini mkataba wa miaka miwili kujunga na Mtibwa Sugar ya Morogoro kutoka Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi. Wanaomshuhudia ni Ofisa wa Mtibwa Sugar, Abubakar Swabur (kulia) na Msimamizi wa mchezaji, Peter Simon (kushoto) 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR YAMSAJILI KIUNGO FUNDI GEORGE MAKANG'A KUTOKA NAMUNGO FC KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top