• HABARI MPYA

  Saturday, August 22, 2020

  MBWANA SAMATTA AKIJIFUA NA ASTON VILLA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA ENGLAND

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta tayari yupo Birmingham na timu yake, Aston Villa wakijiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya England. Aston Vlla iliyonusurika kushuka daraja msimu uliopita, msimu ujao itaanza na Sheffield United Septemba 19 Uwanja wa Villa Park 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBWANA SAMATTA AKIJIFUA NA ASTON VILLA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA WA LIGI KUU YA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top