• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 24, 2020

  BAYERN MUNICH WAIPIGA PSG 1-0, WATWAA UBINGWA ULAYA

  Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia na Kombe lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Paris Saint-Germain, bao pekee la Kingsley Coman dakika ya 59 usiku wa Jumapili Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAYERN MUNICH WAIPIGA PSG 1-0, WATWAA UBINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top