• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 20, 2020

  DIAMOND PLATINUMZ ATOA WIMBO MAALUM WA SIMBA SC NA ATATUMBUIZA KWENYE SIMBA DAY KESHOKUTWA

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji akimkabidhi msanii Diamond Platinumz jezi ya mabingwa wa nchi kwa ajili ya kutumbuiza kwenye tamasha la Simba Day Jumamosi Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam. Diamond ametoa wimbo maalum wa Simba ulioanza kuchezwa leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIAMOND PLATINUMZ ATOA WIMBO MAALUM WA SIMBA SC NA ATATUMBUIZA KWENYE SIMBA DAY KESHOKUTWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top