• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 16, 2020

  NUSU FAINALI NI WAJERUMANI NA WAFARANSA

  KOCHA Pep Guardiola akiondoka kinyonge Uwanja wa Jose Alvalade Jijini Lisbon, Ureno baada ya timu yake kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia kipigo cha 3-1 kutoka kwa Lyon ya Ufaransa usiku wa jana katika mchezo wa Robo Fainali. Mabao ya Lyon yamefungwa na Maxwel Cornet dakika ya 24, Moussa Dembele dakika ya 79 na 87, wakati la Manchester City limefungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 69 na sasa kikosi cha Rudi Garcia kitamenyana na Bayern Munich katika Nusu Fainali Jumatano, siku moja baada ya RB Leipzig kucheza na PSG katika Nusu fainali ya kwanza Jumanne 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NUSU FAINALI NI WAJERUMANI NA WAFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top