• HABARI MPYA

  Thursday, August 27, 2020

  BEN CHILWELL ASAINI MKATABA WA MIAKA MITANO CHELSEA

  BEKI Ben Chilwell akiwa ameshika jezi ya Chelsea baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 50 kutoka Leicester City akisaini mkataba wa miaka mitano ambao beki huyo wa kimatafa wa England atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 190,000 kwa wiki.
  Chilwell, mwenye umri wa miaka 23, anakuwa mchezaji mpya wa tatu kwenye kikosi cha Frank Lampard ambaye hadi sasa ametumia kiasi cha Pauni Milioni 136 kusajili kufuatia kuwanunua Hakim Ziyech kwa Pauni Milioni 37 kutoka Ajax na mshambuliaji Timo Werner kwa Pauni Milioni 49 kutoka RB Leipzig 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BEN CHILWELL ASAINI MKATABA WA MIAKA MITANO CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top