• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 31, 2020

  MSHAMBULAJI MPYA, YACOUBA SOGNE AWASILI KUTOKA KWAO, BURKINA FASSO KUKAMILISHA KIKOSI KIPYA CHA YANGA SC

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne akiwapungia mkono huku amebeba bendera mashabiki wa Yanga SC baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujiunga na klabu yake hiyo mpya, akitokea Asante Kotoko ya Ghana 

  Yacouba Sogne (kulia) akiwa  na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, wadhamini wa Yanga SC leo JNIA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MSHAMBULAJI MPYA, YACOUBA SOGNE AWASILI KUTOKA KWAO, BURKINA FASSO KUKAMILISHA KIKOSI KIPYA CHA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top