• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 30, 2020

  BEKI HODARI WA KULIA, HASSAN RAMADHANI KESSY AREJEA KLABU YA MTIBWA SUGAR KUTOKA NKANA FC YA ZAMBIA

  BEKI wa kulia, Hassan Ramadhan Kessy akiwa na nakala za mkataba wa kujiunga tena na Mtibwa Sugar ya Morogoro kutoka Nkana FC ya Zambia. Kessy aliibukia Mtibwa Sugar kabla ya kwenda kuchezea watani wa jadi, Simba na Yanga SC za Dar es Salaam 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI HODARI WA KULIA, HASSAN RAMADHANI KESSY AREJEA KLABU YA MTIBWA SUGAR KUTOKA NKANA FC YA ZAMBIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top