• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 20, 2020

  CHAMA ALIPOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE SIMBA SC KUTOA MISAADA SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO LEO

  Kiungo nyota wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama akiwa na mmoja wa wanafunzi wa shule ya Uhuru Mchanganyiko katika ziara ya kikosi cha timu hiyo leo kuwakabidhi misaada 
  Wachezaji leo wametembelea shule ya Uhuru Mchanganyiko na kupata nafasi ya kuongea nao na kukabidhi misaada  
  Hii ndiyo misaada iliyotolewa na klabu hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Mo Dewji
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHAMA ALIPOWAONGOZA WACHEZAJI WENZAKE SIMBA SC KUTOA MISAADA SHULE YA UHURU MCHANGANYIKO LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top