• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 16, 2020

  BEKI WA NGUVU WA MTIBWA SUGAR, CASSIAN PONERA AJIUNGA NA RUVU SHOOTING YA MLANDIZI MKOANI PWANI

  BEKI wa kati wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Cassian Ponera amehamishia maisha yake ya kisoka mkoa jirani, Pwani kufuatia kujiunga na Ruvu Shooting ya Mlandizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI WA NGUVU WA MTIBWA SUGAR, CASSIAN PONERA AJIUNGA NA RUVU SHOOTING YA MLANDIZI MKOANI PWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top