• HABARI MPYA

  Thursday, August 27, 2020

  MTIBWA SUGAR YATOKA NYUMA KWA 2-0 NA KUICHAPA DODOMA FC 3-2 MECHI YA KIRAFIKI LEO GAIRO

  Kiungo mshambuliaji, Haroun Othman Chanongo akishangilia baada ya kuifungia Mtibwa Sugar bao la ushindi dakika ya 86 ikiilaza Dodoma Jiji FC 3-2 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa CCM Gairo, Morogoro jioni ya leo. Mabao mengine ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Dickson Job dakika ya 42 na Boban Zilntusa dakika ya 67 kwa penalti, wakati ya Dodoma FC yalifungwa na Anuary Jabir dakika ya 15 na Dickson Ambundo dakika ya 25   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR YATOKA NYUMA KWA 2-0 NA KUICHAPA DODOMA FC 3-2 MECHI YA KIRAFIKI LEO GAIRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top