• HABARI MPYA

  Sunday, August 23, 2020

  RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIPOFUNGUA MKUTANO WA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WACHEZAJI WA ZAMANI LEO KINONDONI

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzana (TFF), Wallace Karia akiwa na Wachezaji wa zamani baada ya kufungua mkutano wa Uchaguzi wa Taasisi yao ya TFLA, maarufu kama Galacticos kwenye Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIPOFUNGUA MKUTANO WA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WACHEZAJI WA ZAMANI LEO KINONDONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top