• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 26, 2020

  YANGA SC YAACHANA NA KOCHA MRUNDI CERDIC KAZE, KUTANGAZA MWALIMU MWINGINE MPYA

  YANGA SC imeamua kuachana na kocha Cerdic Kaze baada ya Mrundi huyo kutuma taarifa ya kupata udhuru na kuomba asogezewe muda wa kuja kuanza kazi nchini na sasa itamtangaza mwalimu mwingine mpya.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC YAACHANA NA KOCHA MRUNDI CERDIC KAZE, KUTANGAZA MWALIMU MWINGINE MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top