• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 21, 2020

  WAAMUZI 34 WA TANZANIA BARA NA VISIWANI ZANZIBAR WASHIRIKI KOZI YA FIFA ILIYOANZA LEO KARUME

  KOZI ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) MA imeanza leo makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Uwanja w Karume, Ilala Jijini Dar es Salaam ikishirikisha waamuzi 34 kutoka Tanzania Bara na visiwani Zanzibar.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAAMUZI 34 WA TANZANIA BARA NA VISIWANI ZANZIBAR WASHIRIKI KOZI YA FIFA ILIYOANZA LEO KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top