• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 24, 2020

  MAREFA WANAOSHIRIKI KOZI MAALUM YA FIFA SASA WAHAMIA KWENYE MAZOEZI YA UTIMAMU WA MWILI

  Refa akikimbia Uwanja wa Mkapa Jijini Dar e Salaam kwa ajili ya mazoezi ya Utimamu wa mwili ikiwa ni sehemu ya Kozi ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) MA inayoshirikisha waamuzi 34 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar,, mafunzo yke yakitolewa kwa njia ya mtandao kupitia Zoom.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAREFA WANAOSHIRIKI KOZI MAALUM YA FIFA SASA WAHAMIA KWENYE MAZOEZI YA UTIMAMU WA MWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top