• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 18, 2020

  KIUNGO HASSAN DILUNGA AONGEZA MKATABA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUPGA KAZI SIMBA SC

  Kiungo Hassan Dilunga amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Simba ya Dar es Salaam aliyojiunga nayo misimu miwili iliyopita kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIUNGO HASSAN DILUNGA AONGEZA MKATABA WA MIAKA MIWILI KUENDELEA KUPGA KAZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top