• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 28, 2020

  SON HEUNG-MIN AFUNGA SPURS YAICHAPA READING 4-1

  Mshambuliaji Son Heung-min akishangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la tatu dakika ya 39 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Reading kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London leo akitimiza miaka mitano tangu ajiunge na klabu hiyo. Nyota huyo wa Korea Kusini alijiunga na Spurs tarehe na mwezi kama wa leo mwaka 2015 kutoka Bayer Leverkusen. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Omar Richards aliyejifunga dakika ya saba, Dele Alli dakika ya 21, Erik Lamela dakika ya 52, wakati la Reading limefungwa na George Puscas kwa penalti dakika ya 80 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SON HEUNG-MIN AFUNGA SPURS YAICHAPA READING 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top