• HABARI MPYA

    Friday, August 28, 2020

    GEOFFREY KIGGI AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR KWA MKATABA WA MIAKA MITATU BAADA YA ALLIANCE FC KUSHUKA DARAJA

    Beki wa kati, Geoffrey Luseke Kiggi (kulia) akiwa na Kocha wa Mtibwa Sugar ya Morogoro, Zubery Katwila wakati wa kusaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na timu hiyo ya Manungu, Turiani mkoani Morogoro kutoka Alliance FC ya Mwanza iliyoshuka daraja.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GEOFFREY KIGGI AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR KWA MKATABA WA MIAKA MITATU BAADA YA ALLIANCE FC KUSHUKA DARAJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top