• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 20, 2020

  WAZIRI MKUU MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA NDIYE MGENI RASM KILELE CHA WIKI YA CHAMAZI JUMAPILI AZAM COMPLEX

  ZIKIWA zimesalia siku tatu kabla ya AzamFCFestival2020 kufanyika Jumapili wiki hii, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa.
  Wababe wa Chamazi, wana jambo lao Jumapili hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, pale watakaposherehekea kilele cha Tamasha la Azam FC Festival.
  Sapraizi kibao zitakuwepo! Unakosaje uhondo mwanangu, kwa kweli usisubiri kusimuliwa, hakikisha unajitokeza ndani ya Uwanja wa Azam Complex Jumapili hii ili uburudike na uhondo wa aina yake.
  #WikiYaChamazi #AzamFCFestival2020 #FahariYaTemeke #WeAreAzamFC #AfricanFrutiImenogaFresh #UhaiDrinkingWater #TradegentsTanzaniaLimited
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU MHESHIMIWA KASSIM MAJALIWA NDIYE MGENI RASM KILELE CHA WIKI YA CHAMAZI JUMAPILI AZAM COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top