• HABARI MPYA

  Ijumaa, Agosti 28, 2020

  SIMBA SC WALIVYOONDOKA LEO DAR KWENDA ARUSHA KWA AJILI YA MECHI YA NGAO YA JAMII DHIDI YA NAMUNGO FC JUMAPILI

  Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Luis Miquissone raia wa Msumbiji akifurahia wakati wa safari ya kwenda Arusha kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Namungo FC Jumapili Uwanja wa Sheikh Amri Abeid 
  Beki wa Simba SC, Muivory Coast, Serge Pascal Wawa akiwa na Kocha wa mazoezi ya utimamu wa mwili, Mtunisia Adel Zrane wakati wa safari ya Arusha leo  
  Beki mzawa Shomari Kapombe (kushoto) akiwa na mshambulaji Mnyarwanda, Meddie Kagere wakati wa safari ya Arusha leo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOONDOKA LEO DAR KWENDA ARUSHA KWA AJILI YA MECHI YA NGAO YA JAMII DHIDI YA NAMUNGO FC JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top