Bruno Fernandes akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 95 kwa penalti kufuatia Anthony Martial kuangushwa na Andreas Bjelland kwenye boksi, Mashetani Wekundu wakiibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Copenhagen usiku wa jana Uwanja wa RheinEnergie Jijini, Cologne, Ujerumani katika mchezo wa mkondo mmoja wa Robo Fainali ya UEFA Europa League. Nusu Fanali itachezwa Jumapili ya Agosti 16 na Man United sasa watakutana na mshindi kati ya Wolverhampton Wanderers na Sevilla zinazomenyana leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Sometimes Arsenal spend one minute taking a corner'
-
Brighton manager Fabian Hurzeler calls for stricter rules around set-pieces
and criticises upcoming opponents Arsenal for time-wasting.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment