Kiungo Mzanzibar, Feisal Salum 'Fei Toto' akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitatu kuendelea kuichezea klabu hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Fei Toto alikuwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake na sasa atakuwa mali ya Yanga kwa miana minne ijayo





.png)
0 comments:
Post a Comment