• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 12, 2020

  FARID MUSSA WA TENERIFE YA HISPANIA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA YANGA SC

  Kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa Malik akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Simon Patrick baad ya kusajili mkataba wa kujiunga na Wana jangwani  kutoka Tenerife B ya Hispania. Kushoto ni Meneja wa Fariud Mussa, Jemedari Said

  Hapa ameongezeka Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Mhandisi Hersi Said ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM, wadhamini wa klabu hiyo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FARID MUSSA WA TENERIFE YA HISPANIA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top