• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 13, 2020

  BEKI WA THAMANI KUBWA, BAKARI NONDO MWAMNYETO ALIVYOANZA KAZI RASMI YANGA SC LEO

  Beki mpya wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto akiwa mazoezini leo na timu yake hiyo mpya Jijini Dar es Salaam baada ya kusajiliwa kutoka Coastal Union ya Tanga
  Beki mpya wa Yanga SC, Yassin Mustapha akiwa mazoezini leo na timu yake hiyo mpya Jijini Dar es Salaam baada ya kusajiliwa kutoka Poilisi Tanzania ya Kilimanjaro 
  Beki Abdallah Shaibu 'Ninja' akiwa mazoezini leo na Yanga baada ya kurejea kikosini kufuatia msimu mmoja wa kwenda kucheza Marekani  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI WA THAMANI KUBWA, BAKARI NONDO MWAMNYETO ALIVYOANZA KAZI RASMI YANGA SC LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top