• HABARI MPYA

  Alhamisi, Agosti 13, 2020

  DODOMA FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE CHA LIGI KUU, YASAJILI NA 'MKATA UMEME' WA BIASHARA UNITED

  Kiungo wa ulinzi, Justine Omari amejiunga na Dodoma Jiji FC iliyopanda Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu kutoka Biashara United ya Musoma mkoani Mara 

  Mchumi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Ndugu Shabani Juma (kulia) akibadilishana nakala ya Mkataba na Agustino Ngata baada ya beki huyo kisiki kusaini kandarasi ya mwaka mmoja kujiunga na Dodoma Jiji FC iliyopanda Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DODOMA FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE CHA LIGI KUU, YASAJILI NA 'MKATA UMEME' WA BIASHARA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top