• HABARI MPYA

  Tuesday, July 21, 2020

  YIKPE NA YANGA TAYARI WAPO MOROGORO KWA AJILI YA MECHI NA MTIBWA SUGAR KESHO UWANJA WA GAIRO

  Wachezaji wa kigeni wa Yanga SC, kipa Mkenya Farouk Shikharo (katikati) na mshambuliaji Muivory Coast, Yikpe Gislain wakiwa mjini Morogoro mara baada ya timu yao kuwasili kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar kesho Uwanja wa CCM Gairo 
  yanga_sc_morogoro @binzubeiry  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YIKPE NA YANGA TAYARI WAPO MOROGORO KWA AJILI YA MECHI NA MTIBWA SUGAR KESHO UWANJA WA GAIRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top